Sunday, March 21, 2010

TUNARUDI TENA

Napenda kuchukua nafasi hii kumpa pole mdau wangu kupitia vidole vyake Mh. Elias Constance wa pale TIA pole kwa yaliyotokea uckate tamaa kaka ndio mitihani.waswahil wanasema baada ya taabu faraja yaja..endelea kufuatilia mdau..
Bila ya kuwasahau wadau wengine,jamani nimekabwa na shule pamoja na majukumu ya g=hapa na pae inshaalah nataraji kupata camera nyingine punde 2takuwa pamoja

Thursday, February 14, 2008

HONGERENI WADAU......



Dah wadau napenda kuwapongeza kwa kufanikiwa kuchukua kiji nondo mara baada ya kuutaabika kwa takribani miaka miwili natoa pongezi za dhati kwenu mungu awabariki....
Usiniulize zangu ziko wapi?Jamaa punde watakuwa civil servants kitengo flani kinachohitaji raia kwa wingi wenye sifa

MAZINGIRA MSIMAMO MO TOWN...




LEO C NDO HIVI AU?


Jamani mie nimeona kwa cku kama ya leo nije kihivi japo kuwa mamsap yuko far