
Ninampango kushinikiza maporomoko haya yatumike ktk uzalishaji wa umeme

balozi wa redds 2006 joketi akitangaza namna shindano la kumsaka balozi wa redds mwaka huu litavyokuwa leo katika ukumbi wa hoteli ya beach comber ambako warembo hao wamepiga kambi. toka shoto ni wabunifu wa mitindo kevin mosha na ally rhemtullah, joketi, meneja wa redds mpeli nsekela na miss tz 2006 wema sepetu.