Friday, September 14, 2007

HUYO DOGO FACE YAKE SIO NGENI...AKIWA NA DADIII YAKE


SI RUKSA KUKAAA HAPA


Nadhani wale wadau wamenipata kwamba kwanini hairuhusiwi kukaaa hapa kwani kuna baadhi ya wanajamhuri hawapendezi na kitendo cha raia kukaaa hapa..Jamani tubadilike kidogo kwani vikao viko vingi mpaka mkae hapo?

MO'TOWN BADO PAKO JUU.....



Wadau hizo ni snap kutoka msamvu stand ya mabasi na nyingine ni kutoka round about ya mjini stnd ya daldal

USTAADHIIIII

SOMETYM KUTEST MUHIM

KITIMTIM CHA MECHI



Hiyo ilikuwa ktk mechi ya mpira wa miguu kati ya mwaka1 & 2

MARIJANI NA KAMATI YAKO HUYU PAKA HANA MADHARA YEYOTE?


K/KOOO

KWA JK MIDA YOTE NI KUCHANGAMKA TU..



Wadau hapo ni chalinze

KIBAHA.....



Kibaha panatisha hizo ni snap za kibaha mizani na njuweni hotel

RUVU IKIWA MBIONI KUKAMILIKA...



Nilipokuwa safarini kurejea ktk milima ya uluguru nilibahatika kupata snap za ujenzi wa daraja la ruvu toka dirisha la basi ama kweli hii mashine yangu ni kiboko