Friday, August 24, 2007

SALA YA IJUMAAA.....

Waislam wa jumuiya ya motco wakifuatilia kwa makini hotuba ya swala ya ijumaa kabla ya swala yenyewe iliyosalishwa na Sheikh Adam Dudu.

WADAU WAKIPITIA BLOG

NIKO NA WADAU OFSIN...

MAZINGIRA MZUKA 2...

ZE COMEDY NOMA

Ni lisaaa limoja kabla ya likipindi la ze comedy kuanza umati huu ulikuwa tayari umefurika ktk kideo kinachopatikana ukumbi wa chakula ili kumshuhudia mkandamizaji na wenzako kukonga nyoyo zao..jamaa wanasababisha mpaka nyumba za ibada kuwa na mahudhurio machache pindi kipindi cha kikiwa hewani

HAPA NDIO KIKAPU KINAKAMULIWA

Jamaa jana walikula tizi la kufa m2 ili kukabiliana na game lao kali wanalotarajia kulipata kati yao na chuo cha uandishi wa habari...

Tuesday, August 21, 2007

ENEO LA KAZI(FATICK)

Sio tu kuwaletea picha za mazingira yetu bali pia nashiriki kikamilifu ktk kuyaweka safi...