skip to main |
skip to sidebar
Nowdayz pc imekuwa inshu jamaa hapo mlangoni nimewabamba wakisubiri kuingia ktk comp lab ya koleji..tathmini yangu inaonyesha kwamba mahitaji baada ya mkuu wa chuo kuweka msisitizo juu ya matumizi ya pc yamekuwa makubwa kulinganisha na awali.
Waislam wa jumuiya ya motco wakifuatilia kwa makini hotuba ya swala ya ijumaa kabla ya swala yenyewe iliyosalishwa na Sheikh Adam Dudu.
Ni lisaaa limoja kabla ya likipindi la ze comedy kuanza umati huu ulikuwa tayari umefurika ktk kideo kinachopatikana ukumbi wa chakula ili kumshuhudia mkandamizaji na wenzako kukonga nyoyo zao..jamaa wanasababisha mpaka nyumba za ibada kuwa na mahudhurio machache pindi kipindi cha kikiwa hewani
Jamaa jana walikula tizi la kufa m2 ili kukabiliana na game lao kali wanalotarajia kulipata kati yao na chuo cha uandishi wa habari...