Monday, August 27, 2007

HUU NI UWANJA NASIO KAMBA YA KUANIKIA NGUO


Nafikiri wale wadau flani watakua wamenipata kwa dhati kabisa hii sehemu sio ya kuanika viwalo kwa haiba ya watu wa hapa hairuhusu kaweka vitu kama hv hadharani...

Saturday, August 25, 2007

MWANDISHI WA RAIS....

Jamaaa hapo juu amekula shavu ktk serikali ya wanajamhuri ya motco kwa kupata nafasi ya kuwa mwandishi wa rais..Kaka kaza buti na tunakutarajia kutenda haki pande zote za shilingi kwa kutumia silaha yako ya karamu na karatasi...KAZI NJEMA

MDAU TOKA KIBO......

D410 -INAKUKAMATA ANYWHERE

KIJANI KIMEKUBALI

DOGO KIWANGO...

Friday, August 24, 2007

JAMAA WAMEGOMA HAPA.....

Ndg zangu baba moja mama moja PMb&CM wamegoma kuingia kula pindi ndani ya class hii kwakuwa mazingira sio condusive na pia ilikuwa stoo b4..Kwa sasa baada ya strike hiyo iliyodumu takribani kwa wiki nzima uongozi wa serikali ya wanachuo wamesimamia usafi wa sehemu hiyo na next monday jamaa watajitoma ndani ya nyumba tayari kwa kula vitini...