Showing posts with label EXPIRED. Show all posts
Showing posts with label EXPIRED. Show all posts

Tuesday, August 14, 2007

HII SASA KUFURU YA KARNE



Watu hao ktk picha hiyo hapo juu wanasubiri kumzika marehemu wao ktk kaburi la nyota tano...sasa wapi tunakwenda?

Monday, August 13, 2007

Usafi muhimu


Ndani ya mollywood(Mawenzi) uchafu utake wewe mana full mawota

Ndani ya self contained za Mawenzi

Bi.KIDUDE


Kama binadamu anaweza kufikia kupewa heshima ya kuwa “taasisi”(institution) katika jambo fulani basi Bi.Kidude anaweza kuwa mmojawapo. Ukiiweka mezani historia ya muziki wa taarabu na tamaduni za unyago visiwani Zanzibar ni wazi kwamba katika meza hiyo pembeni yake ni lazima aketi Bi.Kidude. Uzoefu na uelewa alionao katika idara hiyo hauna mpinzani. Inaaminika kwamba ndiye mwanamke,mwimbaji mkongwe kupita wote Afrika Mashariki na Kati.

INAPENDEDHAAAA...

Ni jambo ambalo kila mmoja we2 aliyekamilika analiota ucku na mchana basi kwa wale waliolifanikisha hatuna budi kuwa sifu na kuwa tia moyo...Nakutakia maisha mema bwana lucas

JO CAT

balozi wa redds 2006 joketi akitangaza namna shindano la kumsaka balozi wa redds mwaka huu litavyokuwa leo katika ukumbi wa hoteli ya beach comber ambako warembo hao wamepiga kambi. toka shoto ni wabunifu wa mitindo kevin mosha na ally rhemtullah, joketi, meneja wa redds mpeli nsekela na miss tz 2006 wema sepetu.

mshindi wa tuzo ya mitindo ya balozi wa redds 2007 atanyakua mkwanja wa milioni 2 unusu na alawansi ya laki 2 kila mwezi kwa mwaka mzima. vigezo 10 vya mshindi ni kwamba anatakiwa awe:

1. mchangamfu, mwenye ucheshi na mvuto
2. uwezo wa lugha za kiinglishi na kiswahili
3. mwepesi kuelewa, kufikiria na kuchambua mambo
4. utulivu wa kujiamini bila jazba
5. hekima, busara na tabia njema
6. miondoko ya kimaonyesho ya mitindo ya nguo
7. ufahamu na uelewa wa mambo ya mitindo ya kitaifa na kimataifa
8. ufahamu na uelewa wa kinywaji cha redds
9. awe na mvuto katika picha
10. bashasha, mchangamfu, mwenye mlahaka na mkabala mwema

futi kamba: awe na urefu wa walau futi 5 na inchi 8, kiuno inchi 26-28, kifua inchi 32-34 na hipsi inchi 36-3
7

Usichungulie wewe...vp?

MA miss we2...!

Saturday, August 11, 2007

BREAKING NEWZZZZ......


HABARI TULIZOZIPATA SASA HIVI NI KWAMBA MYUZISHENI MKONGWE WA KONGO MADILU MULTI SYSTEM AMEFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI KUTOKANA NA MARADHI YA PRESHA KWA MUJIBU WA TV YA KINSHASA. HABARI ZAIDI BAADAYE

Friday, August 10, 2007

Prodyuza mkali....


Kwanini watz tuanakosa uzalendo?Jamaa kweli ni mkali na wimbo wa nyota yangu ulioimbwa na TID mi naamin ni umetoka ktk ardhi yetu na wengine ndio wamecopy...2we wazalendo 2sisubiri kusifiwa...

Hawa ndio wakali wa ubongo wa fleva kwa sasa

40 YA MPIGANAJI WE2


NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA HAYATI AMINA CHIFUPA USIKU WA IJUMAA HII WANATARAJIWA KUFIKA NYUMBANI KWA MZEE CHIFUPA MIKOCHENI TPDC KWA MKESHA WA AROBAINI YA MPENDWA WETU ITAYOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI...MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI

Tuesday, August 7, 2007

je ni sawa?

Inakuaje pale mtu amepewa madaraka fulani halafu anayatumia hayo kumuazibu mwenziwe ktk taasisi fulani bila ya kuwa na haki ya kutoa adhabu hiyo?hili ni tukio lililotokea hivi karibuni..wadau wangu naomba mchango wa mawazo yenu..