Tuesday, August 7, 2007

je ni sawa?

Inakuaje pale mtu amepewa madaraka fulani halafu anayatumia hayo kumuazibu mwenziwe ktk taasisi fulani bila ya kuwa na haki ya kutoa adhabu hiyo?hili ni tukio lililotokea hivi karibuni..wadau wangu naomba mchango wa mawazo yenu..

Monday, August 6, 2007

safi kaka...


Nikiwa ktk milima ya uluguru

nikiwa katika computer lab ya chuoni

Ndani ya computer lab ndo ofsin kwangu hapo wadau.