Saturday, August 11, 2007
MDEBWEDOOOO....!!!
Mdau mkubwa wa blog hii
BREAKING NEWZZZZ......
NIMEKUBALI VITULI WANAUME CAMP...FULL SHANGWE..!
Wadau poleni sana kama hukupokea mwaliko wa kuudhuria party ya vituli ktk harakati za kuwakaribisha fisrt yr(NJUKA) ndani ya bweni la vituli...Kwa kweli ilikuwa full makamuzi tulikamua pilau na vinywaji kibao tukiongozwa na rais wa chuo na msafara wake Bwana Salum Milongo na kusakata mziki mnene ulioshushwa na Dj mkali kutoka KIBO COMPANY...Kwa kweli wadau inabid tujifunze ushirikiano wa wananchi wa jamuhuri ya vituli ulionganishwa na rais wao Bwana Mkama Peter.,,,,,,,Nawapa shavu vituli kwa yote bila kumsahau katibu wao Bw Frank kwa kunipatia mwaliko maalum.....picha ziko ktk processs punde zitakuwa hewani....
Subscribe to:
Posts (Atom)