Ndg zangu baba moja mama moja PMb&CM wamegoma kuingia kula pindi ndani ya class hii kwakuwa mazingira sio condusive na pia ilikuwa stoo b4..Kwa sasa baada ya strike hiyo iliyodumu takribani kwa wiki nzima uongozi wa serikali ya wanachuo wamesimamia usafi wa sehemu hiyo na next monday jamaa watajitoma ndani ya nyumba tayari kwa kula vitini...
Nowdayz pc imekuwa inshu jamaa hapo mlangoni nimewabamba wakisubiri kuingia ktk comp lab ya koleji..tathmini yangu inaonyesha kwamba mahitaji baada ya mkuu wa chuo kuweka msisitizo juu ya matumizi ya pc yamekuwa makubwa kulinganisha na awali.
Ni lisaaa limoja kabla ya likipindi la ze comedy kuanza umati huu ulikuwa tayari umefurika ktk kideo kinachopatikana ukumbi wa chakula ili kumshuhudia mkandamizaji na wenzako kukonga nyoyo zao..jamaa wanasababisha mpaka nyumba za ibada kuwa na mahudhurio machache pindi kipindi cha kikiwa hewani