Nadhani wale wadau wamenipata kwamba kwanini hairuhusiwi kukaaa hapa kwani kuna baadhi ya wanajamhuri hawapendezi na kitendo cha raia kukaaa hapa..Jamani tubadilike kidogo kwani vikao viko vingi mpaka mkae hapo?
Nilipokuwa safarini kurejea ktk milima ya uluguru nilibahatika kupata snap za ujenzi wa daraja la ruvu toka dirisha la basi ama kweli hii mashine yangu ni kiboko