Dah wadau napenda kuwapongeza kwa kufanikiwa kuchukua kiji nondo mara baada ya kuutaabika kwa takribani miaka miwili natoa pongezi za dhati kwenu mungu awabariki.... Usiniulize zangu ziko wapi?Jamaa punde watakuwa civil servants kitengo flani kinachohitaji raia kwa wingi wenye sifa