
Tafadhalini wadau msione kimya nashindwa kuweka mambo mapya kutokana na ile kamera yetu kuharibika..pili niko ktk mitihani ambayo inaniki buzy kimtindo ila nawaahidi mwanzoni mwa mwezi wa 3 tegemeeni v2 vikali toka uswazi kwani ofisi iko mbioni kufunguliwa mitaa ya uswazi komakom-m/nyamala ambayo itajulikana kama GWARA GWARA INTERTAINMENT.Shukrani za dhati zimfikie mh.fede kwa comment zake muhim ktk kuleta uhai wa blog hii.ahsanteni