Kama binadamu anaweza kufikia kupewa heshima ya kuwa “taasisi”(institution) katika jambo fulani basi Bi.Kidude anaweza kuwa mmojawapo. Ukiiweka mezani historia ya muziki wa taarabu na tamaduni za unyago visiwani Zanzibar ni wazi kwamba katika meza hiyo pembeni yake ni lazima aketi Bi.Kidude. Uzoefu na uelewa alionao katika idara hiyo hauna mpinzani. Inaaminika kwamba ndiye mwanamke,mwimbaji mkongwe kupita wote Afrika Mashariki na Kati.
Ni jambo ambalo kila mmoja we2 aliyekamilika analiota ucku na mchana basi kwa wale waliolifanikisha hatuna budi kuwa sifu na kuwa tia moyo...Nakutakia maisha mema bwana lucas
balozi wa redds 2006 joketi akitangaza namna shindano la kumsaka balozi wa redds mwaka huu litavyokuwa leo katika ukumbi wa hoteli ya beach comber ambako warembo hao wamepiga kambi. toka shoto ni wabunifu wa mitindo kevin mosha na ally rhemtullah, joketi, meneja wa redds mpeli nsekela na miss tz 2006 wema sepetu.
mshindi wa tuzo ya mitindo ya balozi wa redds 2007 atanyakua mkwanja wa milioni 2 unusu na alawansi ya laki 2 kila mwezi kwa mwaka mzima. vigezo 10 vya mshindi ni kwamba anatakiwa awe:
1. mchangamfu, mwenye ucheshi na mvuto 2. uwezo wa lugha za kiinglishi na kiswahili 3. mwepesi kuelewa, kufikiria na kuchambua mambo 4. utulivu wa kujiamini bila jazba 5. hekima, busara na tabia njema 6. miondoko ya kimaonyesho ya mitindo ya nguo 7. ufahamu na uelewa wa mambo ya mitindo ya kitaifa na kimataifa 8. ufahamu na uelewa wa kinywaji cha redds 9. awe na mvuto katika picha 10. bashasha, mchangamfu, mwenye mlahaka na mkabala mwema
futi kamba: awe na urefu wa walau futi 5 na inchi 8, kiuno inchi 26-28, kifua inchi 32-34 na hipsi inchi 36-37