Thursday, August 16, 2007

NIMEWALETEA......!!!!!

Wadau kutoka wanaume camp(VITULI) wameniomba nirushe ujumbe huu"Mwana we ni mwenzetu kwa kuwa ulishakua mwanjamhuri sio kila jambo linlotokea ktk ofisi yako hukumu ulete kwetu kwani huku juu ni sisi tu mbona kuna wana kennedy,meru,kibo& mollywood(mawenzi)..Ndg tunategemea busara zako ktk hukumu"....jamani wadau comment muhim mi nimetumwa tu msinihukumu

DOGO MSUMBUFU


Majira ya asubuhi tu dogo akishajua nimelala kwao basi huja kunikurupusha nimpe snap moja ndio hivyo aniachie niendelee na ucngizi wangu...dogo some tyme tunakuwa tumechoka elewa kiivyo!!!

NIMEWAMIC KIMBUZI

Wadau huyo mshkaji ni mdogo wangu namhusudu sana kwa disprin yake.."dogo kaza buti na kuaminia usidelay" huyo kati ni kinda wa bro mkubwa kijana cognitive yake inafanya kazi ipasavyo yaani ni kichwa..

Mo Town mji uliobarikiwa

Kwa kweli mji huu umejariwa kwa vivutio vingi.Tazama maji yanavyotiririka kutoka milimani nadhani wale wadau wangu wa mitaa flani pale kwa kandoro wanatamani tuwahamishie hii mito iwe huko lakini msichoke...

PM MOTCO WANATISHA....

Timu nzima ya vijana wanaosomea kufundisha masomo ya physics &mathematics wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa anazengea ktk eneo lao la fatiki..Timu hiyo iliyokuwa inaongozwa na Ndg.Abdulrahim walifanikiwa kumtoa roho mnyama huyo hatari..Hongereni kwa ushujaa wenu

CSTA

Last wkend nilimis misosi mikali kutoka kwa csta wangu huyo kwani alikuwa anasumbuliwa na malaria..Sometyme kuzamia cha street poa kupoza makali ya bajeti au sio?

MA UNCLE & POZY





SIO KII VYO....!

MDAU KTOKA MOTCO

Full snapzzz