Tuesday, August 14, 2007

NIMEPEWA SHAVU NA MSELA HUYU...


Japokuwa haonekani vizuri naamini kwa wale wafuatiriaji wanampata kijana huyu ni C-PWaaaaaaaaaaaaa....Jamaa amenipa shavu la kushare picha mbalimbali.Mshikaji ndio chanzo cha chuo changu cha kutengeneza blog hii na pia msela ni SOSHO kinoma..Tembelea blo lake la kufa m2 www.simuyangukamera.blogspot.com

NAMHUSUDU SANA MHESHIMIWA HUYU....

Nakupa shavu la nguvu kwa kutusimamia na kutuongoza ktk shughuli za kila siku mkuu..kwani sijawahi kusikia ktk mazingira yetu wanajamhuri wanalonga vibaya juu yako..kaza buti baba tuko nyuma yako..KAZI NJEMA.

WADAU MPO?


JAMANI HILO NDIO WANJA MPYA LETU

HII SASA KUFURU YA KARNE



Watu hao ktk picha hiyo hapo juu wanasubiri kumzika marehemu wao ktk kaburi la nyota tano...sasa wapi tunakwenda?