Kwa ufupi kazi yako ni nzuri, unajitahidi kufuatilia matukio. Nakushauli ufuatilie matukio ambayo ni 'HOT' kwa mfano umezikosa picha za taifa starz na Msumbiji, kifo cha Amin Chif..., Fiesta, Uchaguzi CCM, hayo ni baadhi tu. Ni vitu vya kuwakamata watu kwa wakati muafaka. Pia usirudierudie picha, ukiipublish mara moja basi inatosha, tafuta nyingine. Zingatia matukio muhimu. ...FeDe...
1 comment:
Kwa ufupi kazi yako ni nzuri, unajitahidi kufuatilia matukio. Nakushauli ufuatilie matukio ambayo ni 'HOT' kwa mfano umezikosa picha za taifa starz na Msumbiji, kifo cha Amin Chif..., Fiesta, Uchaguzi CCM, hayo ni baadhi tu. Ni vitu vya kuwakamata watu kwa wakati muafaka. Pia usirudierudie picha, ukiipublish mara moja basi inatosha, tafuta nyingine. Zingatia matukio muhimu.
...FeDe...
Post a Comment