Saturday, September 15, 2007

MAANDALIZI YA FTARI...



Dah wadau wangu ramadhani mosi nilipata mwaliko kukamua ftari maeneo flani nikaibamba hiyo wakati wa maandalizi yake..ilikuwa tight kinyama...wadau sometym kutimiza nguzo za dini muhimu sana kuliko jambo lolote tukubali ukweli tusijifanye vipofu eti kana kwamba hatuoni wala hatusikii katika maswala ya msingi kama haya..NAWATAKIA MFUNGO MWEMA

1 comment:

Unknown said...

Vipi mbona huweki mpya?
Tupe vituuuuz!
Toka Mwaka jana..! inakuwaje?