Wadau hizo ni snap kutoka msamvu stand ya mabasi na nyingine ni kutoka round about ya mjini stnd ya daldal
1 comment:
Anonymous
said...
Eeeehhh bwanaaaaa!!!!!!!!!we ni NOMA!kwa maana una KIPAJI cha kuwa mwandishi wa habari kama hujui, na kama unajua basi kiendeleze hicho kipaji chako,coz yaelekea upo very shap ktk kuchukua ma2kio mbalimbali hadi ktk v2o vya mabasi na daladala pia! Nasema hivi kwa sababu ungekuwa huna hobby usingekuwa na wazo la kupiga picha hata ktk vituo vya mabasi. Mi nakushauri endeleza kipwa chako na Mola atakusaidia utafanikiwa ila ktk mambo ya KHERI na SI YA SHARI.
1 comment:
Eeeehhh bwanaaaaa!!!!!!!!!we ni NOMA!kwa maana una KIPAJI cha kuwa mwandishi wa habari kama hujui, na kama unajua basi kiendeleze hicho kipaji chako,coz yaelekea upo very shap ktk kuchukua ma2kio mbalimbali hadi ktk v2o vya mabasi na daladala pia!
Nasema hivi kwa sababu ungekuwa huna hobby usingekuwa na wazo la kupiga picha hata ktk vituo vya mabasi.
Mi nakushauri endeleza kipwa chako na Mola atakusaidia utafanikiwa ila ktk mambo ya KHERI na SI YA SHARI.
Post a Comment